September 4, 2015


Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza kuwa ana $150,000 (£100,000) kwenye akaunti zake za benki, katika hatua inayolenga kuendeleza uwazi na kupiga vita ufisadi serikalini.
Kiasi hicho kinaonyesha kuwa amekuwa akiishi “maisha ya kujinyima”, msemaji wake Garba Shehu amesema.
Bw Buhari anamiliki makao matano na nyumba mbili za matope, pamoja na mashamba kadha, akaongeza.
Kiongozi huyo wa zamani wa kijeshi alichaguliwa kuwa rais mwezi Machi ahadi zake kuu zikiwa kukabiliana na ufisadi na ukosefu wa usalama.
Ufisadi ni tatizo sugu katika taifa hilo lenye uchumi mkubwa barani Afrika na mwezi uliopita, Bw Buhari alisema $150bn (£100bn) zimeporwa kutoka kwa hazina ya serikali.
Bw Shehu alisema kupitia taarifa kuwa Bw Buhari ana shamba la matunda na renchi yenye ng’ombe 270, kondoo 25, farasi watano na ndege wengi.
Pia anamiliki hisa katika kampuni tatu - Berger Paints, Union Bank na Skye Bank, taarifa hiyo iliongeza.
Hata hivyo, makamu wa rais wa Nigeria Yemi Osinbajo ni tajiri kumshinda mdosi wake.
Taarifa hiyo ilisema Bw Osinbajo ana $900,000 (£600,000) kwenye akaunti zake za benki.
Kwenye fomu ya kutangaza utajiri wake, Bw Osinbajo pia alifichua anamiliki nyumba nne, moja ikiwa ya vyumba viwili vya kulala ambayo analipia mkopo mjini Bedford, Uingereza.

Taarifa hiyo haikusema thamani halisi ya mali yote ya rais na makamu wake, ikieleza kuwa stakabadhi zilizokabidhiwa Afisi ya Maadili zitafanywa wazi kwa umma karibuni baada ya ukaguzi wake kukamilika.

March 3, 2015

JINSI YA MATUMIZI YA MAYAI YA KWALE


                                                      
Matumizi ya mayai ya kwale yanapendekezwa kutumika kama sehemu ya chakula. Kwa afya zaidi inapendekezwa kuyala mabichi. Watu wengi hawapendi wazo hili hivyo kurahisisha matumizi unashauriwa kuchanganya yai bichi katika maziwa au maji yamatunda ama uji. Ili kuimarisha mfumo wa kinga na kuboresha damu inapendekezwa kutumia mayai 60 ni yaani awali 3 kisha 5 kwa siku.

Jedwali lifuatalo linaonyesha pendekezo la ratiba ya matumizi kwa mayai ya kwale, matumizi haya wameandaliwa kulingana na umri wa mwanadamu.
UMRI
IDADI YA JUMLA YA MAYAI YA KWALE
IDADI YA JUMLA YA SIKU
SIKU YA KWANZA
SIKU YA PILI
SIKU YA TATU
SIKU YA NNE NA KUENDELEA
MTU MZIMA(TIBA)
240
49
3
3
4
       5
MTU MZIMA
120
25
3
3
4
       5
MIAKA 16-18
120
25
3
3
4
       5
MIAKA 1- 15
120
31
3
3
3
       4
MIAKA 8 - 10
90
30
3
3
3
       3
MIAKA 4 - 7
60
20
3
3
3
       3
MIAKA 1 - 3
60
30
2
3
2
       2
MIEZI 3 –MWAKA 1
30
30
1
3
1
     1
                                               






                                                                 MAGOJWA YA NAYO TIBIKA
Watumiaji wa dawa za asili wamependekeza matumizi ya fuatayo ya mayai ya kwale kulingana na magonjwa mbali mbali.
Kwa watoto: matumizi ya mayai ya kwale yamependekezwa kwawatoto yakiwa ya mepikwa au mabichi kwa ukuaji mzuri wa mwili na akili. mayai husaidia kuboresha ufanisi wakufikiri ( IQ ).
·         Kuchochea ukuaji wa mwili, kusisimua na kuboresha shughuli za mayai kimetaboliki mwilini. Mayai 100                                                                                                                                                                                
·         Kuimarisha mishipa na mfumo mkuu wa mishipa.Mayai 120
Kwa wazee: mayai ya kwale ya na athari chanya katika kuimarisha mwili kwa hiyo inapendekeza kwa ajili ya wazee. Na ya naweza kutuliza na / au kutibu magonjwa mengi yanayo husishwa na uzee upungufu au vuirutubisho ziada katika mwili.
·         Mayai ya kwale husaidia kuleta hali mpya ya afya na huleta mwili  kwa usawa , yanapingana na kupambana na maradhi ya mwili. Mayai 240
·         Yanafufua kumbukumbu na kulinda seli za mwili .Mayai 120
·         Yanaongeza ufanisi katika tendo la ndoa nakuongeza uzalishaji bora ea homoni husika.Mayai 120.
·         Yanaongeza ufanisi wa viungo vilivyo choka kutokana na kazi na msongo wa mawazo.  Mayai 240.
·         Yana imarisha mwili.Mayai 240.
·         Matibabu ya aleji.Mayai 240
·         Pumu.Mayai 240.
·         Mwasho wa ngozi na fangasi.Mayai 120.
·         Mchafuko wa mfumo wa chakula.Mayai 240.
·         Yanaondoa vidonda vya tumbo.Mayai 240.
·         Yanaboresha mmeng’enyo mbovu wa chakula.Mayai 120.
·         Yanadhibiti uzalishaji wingi wa asidi za tumboni.Mayai 120.
·         Mfumo ini. Mayai na yanaboresha utendaji kazi wa kiungo ini. Mayai 240.
·         Matibabu ya magojwa ya figo na uimarishaji kazi wa kiungo figo. Mayai 240.                                                 
·         Matibabu ya moyo na uimarishaji utendaji kazi wa moyo.Mayai 240.
·         Matibabu ya mzunguko damu na upungufu wa damuMayai 240.
·         Shinikizo la damu na magonjwa ya kimetaboliki. Mayai 240.
·         Gauti. Mayai 240.
·         Uzito wa mwili uliokithiri.Mayai 240.
·         Kisukari.  Mayai 240.
·         Magonjwa ya mfumo wa mishipa na hali ya wasiwasi.Mayai 240.
Faida za  ya mayai ya kwale wakati wa ujauzito  na wakati wa kunyonyesha.
·         matumizi ya mayai ya kwale  kwa kutia nguvu mwili wa mwanamke wakatiwa kipindi                                                                 i na baada ya kujifungua hasa yanapendekezwa zaidi kama baada ya upasuaji au mionzi                                                       Pia yana manufaa juu ya kiumbe kilichopo tumboni ( kuboresha uwiano mwili na akili ).                                                               Na kwa mama baada ya kujifungua (kimwili hukarabati na kuimarisha utengenezaji wa seli ) Mayai ya kwale pia huboresha ubora wa maziwa ya mama. Mayai 240
·         Magojwa  ya upungufu wa kinga mwilini(ukimwi) na husaidia wa gonjwawenye upungufu wa kinga mwilini na kuongeza CD4. Mayai 240.
                                                                                                 Imeandaliwa na John Mwende

                KWA MAHITAJI YA MAYAI YA KWALE PIGA SIMU NAMBA : 0713735601

Harmonize Ft Diamond Platnumz Kwangwaru