December 16, 2014

UFUGAJI WA KWARE NA FAIDA ZAKE

Kware niaina mojawapo ya ndege waporini. Ndege hawa hawaitaji gharama katika ufugaji wake. Jinsiyakumuhudumia kware anahitaji maji mengi, chakula kwa wingi, na usafi kuzingatiwa itapelekea kware kua na afya nzuri na kuan kutoa mayai ndani ya wiki sita tokea kuanguliwa. FAIDA ZA MAYAI YA KWARE. Mayai ya kware nimadogo lakini hutibu magonjwa mbalimbali kama Kisukari, Vidonda vya tumbo, shinikizo la damu, Pumu nakadhalika watu wengine hupona hadiukimwi . Nakansa pia hutibu . JE UUNAHITAJI KWARE AU MAYAI WASILIANA NAMI

Harmonize Ft Diamond Platnumz Kwangwaru