blogu ina husu mambo mbalimbaliya nayo husu jamii ikiwemo afya, ufugaji na kilimo, sanaa, siasa, utalii na michezo pamoja na ujasiriamali
December 16, 2014
UFUGAJI WA KWARE NA FAIDA ZAKE
Kware niaina mojawapo ya ndege waporini. Ndege hawa hawaitaji gharama katika ufugaji wake. Jinsiyakumuhudumia kware anahitaji maji mengi, chakula kwa wingi, na usafi kuzingatiwa itapelekea kware kua na afya nzuri na kuan kutoa mayai ndani ya wiki sita tokea kuanguliwa. FAIDA ZA MAYAI YA KWARE. Mayai ya kware nimadogo lakini hutibu magonjwa mbalimbali kama Kisukari, Vidonda vya tumbo, shinikizo la damu, Pumu nakadhalika watu wengine hupona hadiukimwi . Nakansa pia hutibu . JE UUNAHITAJI KWARE AU MAYAI WASILIANA NAMI
Subscribe to:
Comments (Atom)
-
www.kiredioblog.blogspot.com Vurugu zimetokea katika mji wa Hong kong,kitongoji cha Mong kok wakati polisi wakif...
-
NAMNA YA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA YAKO Watu wengi hasa vijana wanatamani w...
-
Bill Gates kusaidia watu kufuga kuku Afrika Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft Bill Gates, amezindua kampeni ya kusaidia watu maskini...

